Monday, June 3, 2013

CHEKI KITCHEN PARTY YA FLORA MVUNGI ILIVYOKUWA


Bi harusi mtarajiwa Flora Mvungi ambae kwa ssa anaiitwa 'KHADIJA' Festo Mvungi akiwa na mpambe wake wakati wa kitchen party yake iliyo fanyika usiku wa kuamkia leo katikaukumbi wa Live Stone.

Mambo ya Bi Khadija na shoti wake si mchezo

Bibi harusi mtarajiwa aka mama ijaco akisubiria jiugongwaaa na hapo alitupia kivazi kingine chezeaaa

Bi Khadija akiwa na mashistito wake usiku wakuamkia leo kwenye kitchen party party. Namuona Wastara nae pale Mashallah

Tunapenda kuwatakia Flora 'Khadija' na H Baba kila la kheri katika safari wanayo karibia kuianza.

1 comment:

  1. kila la heri wajina 'khadija'

    ReplyDelete