Monday, March 11, 2013

MTOTO WA MIAKA 8 AMUOA BIBI WA MIAKA 61!!


Huyu mtoto aitwae Sanele anasema wazee wa zamani ndio walimuamrisha aoe lakini pamoja na hilo, hawajasaini cheti cha ndoa na wala hawaishi pamoja ambapo wazazi wa huyu bwana harusi walichangia harusi kwa kutoa euro 1500 ambazo walisisitiza ni kama matambiko na sio kisheria.

Mtoto huyo amekaririwa akisema “nilimwambia mama yangu, nahitaji kweli kuoa na nimefurahi nimemuoa Helen lakini nikikua nitaoa mwanamke wa umri wangu”

Mama mzazi wa Sanale anasema “babu yake ndio alimchangulia Sanale amuoe Helen kwa sababu yeye(Babu) anampenda, na wamefanya hivyo ili kutimiza maagizo ya wazee wa koo ambao wameshafariki, yani ni kama matambiko”
Hii imetokea Tshwane South Africa.

No comments:

Post a Comment