Saturday, January 12, 2013

PUSI NA PAKU~ SASA HIPO MADUKANI WAHI NAKALA YAKO


Hile muvie ya vichekesho iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wapenzi wa filamu nchini PUSI NA PAKU sasa hipo madukani. Katika muvie hiyo kutoka NISHA's PRODUCTIONS na kusambazwa na STEPS utakutana na waigizaji kwenye hadhi ya 5 STARS kama KING MAJUTO, NISHA na JACQUELINE WALPER.


HII SIO YA KUKOSA WAHI NAKALA YAKO LEO!!


No comments:

Post a Comment